Kinyambo (au Orunyambo) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wanyambo. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kinyambo imehesabiwa kuwa watu 400,000.
Hii lugha inazungumzwa katika maeneo ya Kagera.
Tunatamani mno kuueneza ujumbe wa habari njema nchini kote Tanzania. Naomba uungane nasi.